Soma Biblia Kila Siku 03/2025Sample

Ametenda mambo yote vema(m.37). Ili kuelewa vizuri zaidi habari hizi za uponyaji tujue yafuatayo: ”Watoto”ni mfano wa Wayahudi (m.27:Waache watoto washibe kwanza). Wana haki ya kwanza kusikia Injili, kama Yesu anavyoeleza katika Mt 15:24:Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. Neno ”mbwa” lingetakiwa kutafsiriwa "mbwa wadogo". Si mbwa wale wanaozungukazunguka, bali wako nyumbani kwa mtu. Hao ni mfano wa watu wasio Wayahudi. Yesu”akaugua”, yaani anaona uchungu kwa ajili ya yule kiziwi.Kwanza anamfanyiavitendoili aelewe Yesu anataka kumfanyia nini. Ndipo Yesu anamponya kwaneno.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Marko, 1 Nyakati na Isaya. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Love People?!

Sundays at the Track

Move People Through God Alone

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

Live Your OWN Life With Conviction

The Family Business: Living Like Jesus. Loving Like Jesus. Leading Like Jesus.

Made for More

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter
