Soma Biblia Kila Siku 03/2025Sample

Somo hili linatuonesha kuwa Yesu anajali matatizo yetu ya kimwili. Baba yetu wa Mbinguni anaguswa rohoni akiona tuna njaa, tumekosa nguo au tukiwa wagonjwa (linganisha kwa kusoma mwenyewe Mt 6:25-34). Kwa hiyo tunaweza kumwomba kwa ujasiri tukiwa taabuni. Na tukiwa na raha, tusisahau kumshukuru na kuwahurumia wenye mahitaji! Siku hizi Yesu hayupo katikati yetu kama wakati ule. Hata hivyo bado anaendelea kutenda kazi yake ya huruma miongoni mwetu kwa kupitia sisi wafuasi wake. Sisi ni mikono yake. Zingatia Yesu alivyowaambia wanafunzi wake wasaidie kuwapa watu wote chakula.Akawaagiza mkutano waketi chini; akaitwaa ile mikate saba, akawapa wanafunzi wake wawaandikie; wakawaandikia mkutano(m.6).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Marko, 1 Nyakati na Isaya. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Love People?!

Sundays at the Track

Move People Through God Alone

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

Live Your OWN Life With Conviction

The Family Business: Living Like Jesus. Loving Like Jesus. Leading Like Jesus.

Made for More

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter
