Soma Biblia Kila Siku 08/2024Sample

Wakati wa utawala wa Manase na Amoni, kipindi cha miaka 57 hivi, kilizaliwa kizazi ambacho hakikujua sheria ambazo Musa alipewa na Mungu kwa ajili ya taifa la Israeli. Mfalme Yosia aliporuhusu kazi ya kurekebisha hekalu ianze, ndipo mafundi wakakiona kitabu cha torati kilichohifadhiwa humo. Kwa Yosia, ambaye alimcha Bwana, hii ilikuwa habari njema kuwashirikisha watu. Tukimtumikia, Mungu aweza kutuonesha mambo mazuri ya sirini, lakini pia mambo ya kutisha. Hapa tunahitaji kutafakari sana m.13:Enendeni, mkamwulize Bwana kwa ajili yangu, na kwa ajili ya watu hawa, na kwa ajili ya Yuda yote, katika habari za maneno ya kitabu hiki kilichoonekana; kwa kuwa hasira ya Bwana ni kubwa aliyotukasirikia, kwa sababu baba zetu hawakuyaangalia maneno ya kitabu hiki, kufanya kama hayo yote tuliyoandikiwa.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 08/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Nane pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Wafalme na 1 Timotheo. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

And He Dwelt

Mom in the Word: One-Year Bible Plan (Volume 1)

The Power of Biblical Meditation

The Layoff Test: Trusting God Through a Season of Unemployment

Between the Altar and the Father’s Embrace

Joyfully Expecting!

God’s Word, Her Mission: Encouragement for Women Helping Build God’s Kingdom by Wycliffe Bible Translators

Elijah: A Man Surrendered to God

Men of the Light
