Soma Biblia Kila Siku 08/2024Sample

Mungu ametubariki kwa mali, na baadhi ya Wakristo ni matajiri. Lakini tuwe matajiri au maskini, sisi sote tukumbuke kuwa utajiri wa kweli ni kuwamatajiri kwa kutenda mema(m.18). Yesu anasema juu yakujiwekea akiba(m.19), maana yake ni kujiwekeahazina mbinguni(Mt 6:20). Mali ni ya udhalimu, na siku moja itakosekana, lakini tukiitumia kwa kuwekeza katika ufalme wa mbinguni, Mungu ataibadili kuwa rafiki watakaotukaribisha katika makao ya milele. Kwa hiyo Yesu anatuambia:Jifanyieni rafiki kwa mali ya udhalimu, ili itakapokosekana wawakaribishe katika makao ya milele(Lk 16:9).Katika m.17 tunaona kuna uhusiano wa karibu kati ya kutumia vizuri kipawa hicho cha ukarimu anachokitoa Mungu na furaha:Walio matajiri wa ulimwengu wa sasa ... wamtumaini Mungu atupaye vitu vyote kwa wingi ili tuvitumie kwa furaha(m.17).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 08/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Nane pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Wafalme na 1 Timotheo. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

You Say You Believe, but Do You Obey?

Everyday Prayers for Christmas

The Bible in a Month

Never Alone

Sharing Your Faith in the Workplace

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

The Holy Spirit: God Among Us

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen
