Soma Biblia Kila Siku 08/2024Sample

Ni dhahiri kwamba Mungu anachukia uovu, na kama akiamua kuadhibu, hakuna anayeweza kuistahimili ghadhabu yake. Lakini Mungu anawajali sana wale ambao wameendelea kumpenda na kuchukia uovu. Hata kama wanaishi katikati ya wenye uovu wasiotaka kutubu, bado Mungu anawathamini. Mpendwa mkristo, hata kama wengine wanakudhihaki na kukubeza, wewe endelea kumtumikia Mungu kwa uaminifu. Tunaposikia na kupokea neno la Mungu kama Mfalme Yosia, Mungu atatusikia tukimwomba:Kwa kuwa moyo wako ulikuwa mwororo, nawe ukajinyenyekesha mbele za Bwana, hapo ulipoyasikia maneno niliyoyanena juu ya mahali hapa, na juu ya wenyeji wake, ya kwamba watakuwa ukiwa na laana, nawe ulizirarua nguo zako, ukalia mbele zangu; basi, mimi nami nimekusikia wewe, asema Bwana(m.19).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 08/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Nane pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Wafalme na 1 Timotheo. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

You Say You Believe, but Do You Obey?

Everyday Prayers for Christmas

The Bible in a Month

Never Alone

Sharing Your Faith in the Workplace

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

The Holy Spirit: God Among Us

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen
