Soma Biblia Kila Siku 06/2024Sample

Hali ya duniani kama nyumba kubwa yenye vyombo mbalimbali, vingine vina heshima na thamani na vingine havina. Hali hii huathiri Kanisa. Kwa hiyo neno la leo linatuhamasisha kujitakasa na kujitenga na uovu wa kila aina ili kuwa vyombo safi, vinavyofaa kwa kazi ya Bwana. Tuzingatie lile swali na jibu lake katika Zab 119:9:Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako.Kiu yetu daima iwe ni kuzisafisha njia zetu. Yatupasa wana wa Mungu kuwa na roho ya upole kwa watu wote. Kwa namna hii tu tunaweza kuwafundisha wengine ili wapate kutubu na kuijua kweli ya Neno la Mungu.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Overcoming the Trap of Self-Pity

Am I Really a Christian?

Drive Time Devotions - Philippians

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

16 Characteristics of the God-Kind of Love - 1 Corinthians 13:4-8

Faith @ Work

Reimagine Influence Through the Life of Lydia

Faith in Trials!
