Soma Biblia Kila Siku 06/2024Sample

Utakuja wakati ambapo watu watayakataa mafundisho ya Neno la Mungu yenye uzima na badala yake kupenda mafundisho ya uongo. Kwa hiyo Paulo anamwagiza Timotheo mbele ya Mungu kufanya kazi ya mhubiri wa Injili. Je, hali ikoje wakati wetu? Neno la Mungu linahubiriwa ipasavyo na watu wote wanapenda mafundisho yake ya kweli? Bila shaka hali ni tofauti. Kama Timotheo, sisi pia tunaagizwa kutahadhari. Tudumu katika imani na kuwa na kiasi na uvumilivu tukihubiri Injilikwa uhodari wote. Bwana yu karibu!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

24 Days to Reflect on God's Heart for Redemption

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 8-12)

Rebuilt Faith

Sharing Your Faith in the Workplace

Protocols, Postures and Power of Thanksgiving

Legacy Lessons W/Vance K. Jackson

You Say You Believe, but Do You Obey?

God's Book: An Honest Look at the Bible's Toughest Topics
