Soma Biblia Kila Siku 06/2024Sample

Paulo anamtia moyo Timotheo katika kazi ya utumishi wa Injili ambayo msingi wake ni kuwezeshwa. Kwa njia ya mifano ya askari, mwanariadha na mkulima anaonyesha siri ya nguvu ya mtumishi wa Mungu. Ni neema ya Yesu Kristo. Neema hii ndiyo kinachojenga utayari wa kumtii, kumwamini na kumtegemea Yesu, uhodari katika kushiriki mateso na taabu ya kuhubiri Injili, na bidii katika kuwaandaa watu waaminifu ili hatimaye waendeleze kuhubiri Injili. Fikiria hayo ukitaka kuhubiri Injili kwa uhodari wote.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

24 Days to Reflect on God's Heart for Redemption

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 8-12)

Rebuilt Faith

Sharing Your Faith in the Workplace

Protocols, Postures and Power of Thanksgiving

Legacy Lessons W/Vance K. Jackson

You Say You Believe, but Do You Obey?

God's Book: An Honest Look at the Bible's Toughest Topics
