Soma Biblia Kila Siku 06/2024Sample

Mwanadamu kujaribu kushindana na maamuzi ya Mungu ni hatari. Hakuna anayeweza kushindana na Mungu kisha akashinda. Ahazi alijaribu kushindana na Mungu kwa kutuma askari ili wamkamate Eliya, nabii wa Mungu. Hakutaka kusikia ukweli. Bila shaka alifanya kwa minajili ya kunyamazisha sauti ya Mungu kwa kumwua Eliya. Askari 102 walikufa kabla Ahazi hajatambua kuwa hakuweza kumwua. Je, wewe pia unatafuta kunyamazisha sauti ya Mungu anapokuambia ukweli? Jifunze haiwezekani. Neno la Mungu litatimia.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Overcoming the Trap of Self-Pity

Am I Really a Christian?

Drive Time Devotions - Philippians

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

16 Characteristics of the God-Kind of Love - 1 Corinthians 13:4-8

Faith @ Work

Reimagine Influence Through the Life of Lydia

Faith in Trials!
