Soma Biblia Kila Siku 02/2024Sample

Taratibu na sheria za maisha, hata zile za kimahakama, msingi wake ni Neno la Mungu. Sheria nyingi za haki zinatokana na Biblia takatifu. Mungu ameweka sheria na kanuni za maisha ili kumfanya binadamu aishi maisha ya utaratibu na amani. Mungu anapenda tuishi kwa upendo, kwa hiyo anatuagiza kuheshimiana na kulindana. Sheria ya jino kwa jino ni mwogozo kwa wanasheria wa kidunia. Kila unapokuta unataka kulipa kisasi, jifunze kwa Yesu ili ujue jinsi ya kuwatendea wanaokukosea. Ukiwa na nafasi, soma pia Mt 5:38-48.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Run With Endurance: Faith and Perseverance for Everyone

Keep Standing: When the Weight Feels Heavy

A Heart Prepared for Thanksgiving

Faith That Feels Real: Part 4 - Trusting God in the Hardest Times

Reset and Recenter: A Christian's Guide to Faith and Technology

Believing Without Seeing

30 Scripture Based Prayers for Your Marriage

Friendship With Jesus

Prayer
