Soma Biblia Kila Siku 02/2024Sample

Mungu anataka kusiwepo na uhalifu, ila watu ni waovu na kutendeana isivyopaswa, wakiibiana, kudhulumiana, kuharibu mali ya wengine n.k. Kwa hiyo Mungu anatoa mwongozo wa namna ya kuwatendea wahalifu wasioitii sheria yake. Sheria ya Mungu imewekwa ili kulinda taifa, na kulifanya liwe na utaratibu unaokubalika na Mungu, na limtazame Mungu daima. Unapomkosea mwenzako, umsaidie kuondoa maumivu uliyoyasababisha kwake ukiomba msamaha na kuwa tayari kufidia ile hasara uliyomletea. Zingatia ushuhuda wa Zakayo katika Lk 19:8 akimwambia Bwana Yesu,Tazama, Bwana, nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa nimenyang'anya mtu kitu kwa hila namrudishia mara nne.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 02/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

Never Alone

The Holy Spirit: God Among Us

Everyday Prayers for Christmas

You Say You Believe, but Do You Obey?

The Bible in a Month

Sharing Your Faith in the Workplace
