Soma Biblia Kila Siku Julai 2023Sample

Waisraeli ni taifa pekee duniani alilolichagua Mungu liwe watu wake, tena kwa daraja la “mwana” na “mzaliwa wa kwanza” (Kut 4:22,Bwana asema hivi, Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu). Kwa kuwapa cheo hiki, Mungu alitarajia wangeupokea huo upendo wake mkuu kwa furaha, unyenyekevu na heshima. Lakini walimkataa Muumba wao. Hata hivyo aliendelea kusema nao,Hatafanya lolote bila kuwafunulia ... manabii siri yake.Wasifiche kusudi la Mungu kuwaadhibu watu wake. Sisi nasi tunapokea mema mengi kwa Mungu. Haya yatuvute kwake tumpende, tuwe waaminifu kwake.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Julai 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Kutoka na Amosi Karibu kujiunga na mpango huu.
More
Related Plans

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

Never Alone

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Everyday Prayers for Christmas

The Holy Spirit: God Among Us

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Sharing Your Faith in the Workplace
