Soma Biblia Kila Siku Julai 2023Sample

Mungu anamtuma Musa aingie kwa Farao tena. Farao anapoendelea kuufanya moyo wake kuwa mgumu, Musa anaachilia pigo la vyura kuingia kokote Misri. Wachawi nao wanajitahidi kufanya kama Musa. Kwa ukuu wa vurugu ya vyura, Farao anaonyesha utayari wa kuwaruhusu Waisraeli waende.Akawaita Musa na Haruni na kuwaambia, Mwombeni Bwana, ili awaondoe vyura hawa kwangu mimi na kwa watu wangu; nami nitawapa watu ruhusa waende zao, ili wamtolee Bwana dhabihu(m.8). Tafadhali ona Musa alivyokuwa na uhakika wa utendaji wa Mungu:“Sema ni lini unapotaka nikuombee ... ili hao vyura waangamizwe”(m.9). Mungu alifanya sawasawa na haja ya Farao. Anaweza kufanya hivyo kwetu pia. Basi, tumshukuru kwa moyo!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Julai 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Kutoka na Amosi Karibu kujiunga na mpango huu.
More
Related Plans

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

Never Alone

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Everyday Prayers for Christmas

The Holy Spirit: God Among Us

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Sharing Your Faith in the Workplace
