Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Sample

Tuombapo, Mungu hutujalia upendo, busara na ujuzi sahihi wa mapenzi yake kwa njia ya Yesu Kristo. Tena twatakaswa na kujazwa matunda ya haki. Hata tukilazimika kuteswa kwa ajili ya Kristo, twajua atatukuzwa. Wengine waweza kushangilia mateso hayo, lakini hata katika mashangilio yao, Kristo atahubiriwa na kutukuzwa. Haidhuru kitu kama Kristo atahubiriwa kwa husuda au kwa wema. Furaha yetu Wakristo ni kwamba Kristo anahubiriwa.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Wafilipi na Mwanzo. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure
More
Related Plans

Sharing Your Faith in the Workplace

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Never Alone

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

The Holy Spirit: God Among Us

Everyday Prayers for Christmas

The Bible in a Month

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life
