YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Sample

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

DAY 14 OF 30

Wakristo wasikose kujua kwamba wawapo duniani majaribu kati yao hayakosi kuwapo. Lakini kama watoto wa Mungu, ni lazima waonyeshe upole kati yao, na wasijisumbue kurekebishana kwa nguvu zao wenyewe bila kuomba. Maombi ni njia bora ya kurejeshewa amani na Mungu awapendaye. Tena amani hiyo ndiyo iwahifadhiyo watoto wa Mungu wabaki salama. Ni mapenzi ya Mungu kwamba tumwombe ili kumwonyesha kuwa tunamwamini na kumpenda. Tukifanya hivyo wakati wote hatutapungukiwa na amani yake.

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Wafilipi na Mwanzo. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure

More