Soma Biblia Kila Siku Januari/2022Sample

Usiku ule Yakobo aliposhindana na Mungu, Mungu alimpa jina jipya: ISRAELI (= kushindana na Mungu; 32:29, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu). Baada ya kuagana na Esau na kuingia katika nchi ya Kanaani Yakobo akajenga huko madhabahu, akiiita, El-elohe-Israeli. Maana yake ni "Mungu, Mungu wa Israeli". Huko nyuma alisema, “Mungu wa baba yangu” (Ibrahimu na Isaka; 32:9), ila sasa amekuwa Mungu wake. Yakobo ameokoka. Amekutana na Mungu aliye hai. Ametubu na kumkabidhi maisha yake. Yakobo amebadilika. Amekuwa Israeli!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Januari/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa situ husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Mwanzo. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure.
More
Related Plans

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter

Live Your OWN Life With Conviction

Sundays at the Track

Jesus Is Our "Light of the World"

Made for More

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

Love People?!

Move People Through God Alone
