Soma Biblia Kila Siku Januari/2022Sample

Inafurahisha kweli kuona jinsi hawa ndugu walivyokutana kwa amani na upendo. Mungu alikuwa amesikia maombi ya Yakobo! Ila kwanza ilibidi Mungu ashindane naye juu ya maisha yake ya nyuma. Na usiku ule Yakobo alipata kumjua Mungu kama Mungu wa neema. Alipokutana na Esau hakujisifu lolote, bali alikuwa anaongea juu ya neema ya Mungu tu! Ni watoto Mungu aliompa mtumwa wako kwa neema yake (m.5). Pokea, tafadhali, mbaraka wangu, ulioletewa, kwa sababu Mungu amenineemesha (m.11).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Januari/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Januari pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa situ husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Mwanzo. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure.
More
Related Plans

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter

Live Your OWN Life With Conviction

Sundays at the Track

Jesus Is Our "Light of the World"

Made for More

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

Love People?!

Move People Through God Alone
