Soma Biblia Kila Siku Juni 2021Sample

Farao mhusika alijiita “mwenye mkono wa nguvu”. Lakini Mungu ameshavunja mkono wake mmoja, na jeshi la Misri litashindwa hata mara nyingine. Wamisri wanatawanywa na kuangushwa kwa mkono wa mfalme wa Babeli. Hivyo wote wajue kwamba Mungu hafurahishwi na yeyote anayejiinua. Tuelewe kuwa hekima ya Mungu iko juu sana. Atamtumia yeyote kuyatimiza makusudi yake. Tusijitukuze kwa sababu ya ‘kimo’ na tusisimame katika ‘kimo chetu kirefu’ (neno hili la tamathali linapatikana katika m.14: Mti wo wote, ulio karibu na maji, usijitukuze kwa sababu ya kimo chake, wala usitie kilele chake kati ya mawingu, wala mashujaa wake wasisimame katika kimo chao kirefu). Msaada unatoka kwa Mungu pekee.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Juni 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Every Thought Captive

3 - LORD'S PRAYER - the Lord´s Requirements

As He Purposeth in His Heart by Vance K. Jackson

The Origin of Our Story

Don’t Know What You’re Doing After Graduation? Good.

The Rapture of the Church

Philippians - Life in Jesus

UNPACK This...Being a Good Teammate in Life

Seasons of Hardship: Live the Jesus Way
