YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 6Sample

Soma Biblia Kila Siku 6

DAY 9 OF 30

Wanafunzi wa Yesu walipomwagiwa Roho Mtakatifu walisimama kwa ujasiri wakizungumza kwa lugha za kila aliyekuwepo. Watu waliendelea kuwasikiliza wakaelewa watu hao hawajalewa kwa mvinyo, bali ni unabii unaotimia mbele yao. Petro anawaonyesha mambo manne katika Neno la Mungu: 1) Kusudi la Mungu lilitimia walipomsulubisha Yesu. 2) Mungu amemfufua. 3) Kifo hakiwezi kumfunga Yesu tena, wala yule anayemwamini. 4) Roho Mtakatifu ni kwa ajili yao. Mioyo ya watu ilipoguswa, wengi wakatubu na kubatizwa.

Scripture