Somabiblia Kila Siku 3Sample

Yesu huwatia moyo wanafunzi kwa kuwaambia kwamba akisharudi kwa Baba yake atawapelekea Msaidizi. Jina lingine ni Roho wa kweli au Roho Mtakatifu (Yn 14:25; 15:26 na 16:5-7). Kazi yake itakuwa ni kuwaokoa wanadamu (m.8-11) na kuwatia wanafunzi wa Yesu katika kweli yote (m.13). Zaidi sana atamshuhudia na kumtukuza Yesu kwao(15:26; 16:14 na 17:10). Ikiwa YESU anashuhudiwa na kutukuzwa maishani mwako ni dalili moja muhimukuwa Roho wa kwelihufanya kazi ndani yako! Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani(1 Yoh 4:1-3).
Scripture
About this Plan

SomaBiblia Kila Siku 3 ni mpango mzuri wa kukusaidia kusoma Biblia kwa njia rahisi. Ufafanuzi wa somo la kila siku unakupa mwanga na kiu ya kuendelea kulitafakari Neno la Mungu ukiwa peke yako au pamoja na wenzako.
More
Related Plans

Legacy Lessons W/Vance K. Jackson

You Say You Believe, but Do You Obey?

Awakening Faith: Hope From the Global Church

24 Days to Reflect on God's Heart for Redemption

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

Sharing Your Faith in the Workplace

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 8-12)

God's Book: An Honest Look at the Bible's Toughest Topics

Rebuilt Faith
