Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mbazi za YesuMfano

The Parables of Jesus

SIKU 25 YA 36

KARANI MJANJA
Mbazi hii ina tafsiri mbalimbali katika vitabu vya ufafanuzi wa Biblia, lakini ni dhahiri kwamba mbazi hii haifai kutumiwa kama mfano wa kusimamia mali! Badala yake, tunafaa kuona jinsi karani alitumia mali ya dunia kupata marafiki na kuboresha hali yake, badala ya kuwa mtumwa wa mali hayo. Tunafaa kutumia mali ya dunia badala ya kutumiwa na mali.

Hata hivyo, matendo ya karani baada ya kuambiwa kwamba angepigwa kalamu haifutilii mbali kwamba angefutwa kazi kwa sababu ya usimamizi wake mbovu wa kazi yake. Tunafaa kuwa waaminifu katika kila kazi tunayopewa, kazini, nyumbani, kanisani, kwa sababu tunawakilisha Mungu katika kazi zetu zote.

Kuhusu Mpango huu

The Parables of Jesus

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!

More

We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/