Programu ya Biblia ni bure kabisa, haina matangazo na hakuna ununuzi wa ndani ya programu. Pata programu
Mbazi za Yesu

36 Siku
Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!
Tungependa kushukuru Trinity New Life Church kwa kutupa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, nenda kwa: http://www.trinitynewlife.com/








