Mbazi za YesuMfano

MBEGU YA HARADALI
Haijalishi kwamba mwanzo ni mdogo, ikiwa utazidi kupalilia Ufalme wa Mungu moyoni mwako, Mungu atakukuza ili uwaathiri jamii yako!
Hii haimanishi kwamba kila Mkristo atakuwa na kiwango sawa cha utumishi, lakini katika neema na vipaji vyetu binafsi, tutazidi kukua katika ushawishi wetuThis doesn't mean every Christian. Kwa hivyo ikiwa umechoshwa na udogo wa imani yako, udogo wa kanisa lako, au udogo wa ushawishi wako wa kiinjilisti, usidharau huo mwanzo mdogo!
Endelea kupalilia Ufalme wa Mungu moyoni mwako! Fanya vitendo kimakusudi ili uhusiano wako na Yesu uzidi kukua.

Kuhusu Mpango huu

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!
More
We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/