Mbazi za YesuMfano

CHACHU
Mara nyingi Wakristo wanatazama burudani, elimu, siasa, au michezo na kulalamika kwamba hakuna Wakristo katika sekta hizi zenye ushawishi. Katika mbazi hii, Yesu anatueleza kwamba so lazima tuwe wengi ili kuathiri watu wengi nyumbani mwetu na jamii zetu kwa jumla.
Badala yake, tunahitaji wafuasi waliojawa sana na Ufalme wa Mungu kiasi kwamba wanaathiri kila mtu aliye karibu nao. Haijalishi ikiwa Mungu amekuita uwe na ushawishi katika siasa, burudani, sayansi, sanaa, mjini mwako ama hata nyumbani mwako, njia bora ya kuathiri wengine ni kujawa na ukweli na upendo wa Yesu Kristu.

Andiko
Kuhusu Mpango huu

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!
More
We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/