Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mbazi za YesuMfano

The Parables of Jesus

SIKU 17 YA 36

LULU YENYE THAMANI KUBWA, HAZINA ILIYOFICHIKA
Katika mbazi hii mbili, Yesu anatupa changamoto ya kukumbuka jinsi Ufalme wa Mungu una thamani kuu kwetu.

Tulisoma jinsi watu wawili walipeana vitu vya thamani ili kupata kitu ambacho waliona kwamba ulikuwa na thamani zaidi. Tunapokumbuka vitu ambavyo tumeacha ili kuwa katika ufalme wa Mungu, lazima tukumbuke pia na kufurahi kwa yale yote tumeyapata!

Lazima pia tuendelee kuchunguza mioyo yetu kuona kama kuna vitu, ndoto, uhusiano, n. k., ambazo tunashikilia kwani tunaziona kuwa na thamani zaidi na Yale ambayo Mungu ametupangia katika Ufalme wake.

Kuhusu Mpango huu

The Parables of Jesus

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!

More

We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/