Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mbazi za YesuMfano

The Parables of Jesus

SIKU 14 YA 36

MBEGU INAYOOTA
Mbazi hii ni mojawapo ya mbazi ambazo ni ngumu kuelewa. Wachambuzi hawakubaliani jinsi ambavyo mbazi hii inafaa kutekelezwa, kwa hivyo tutaangalia mafunzo yake kwa jumla badala ya kutafuta maana fiche.

Mbazi hii inaonyesha kwamba ukuaji unaweza kutendeka hata ingawa hatuuoni. Hii inatukumbusha kwamba ukuaji unatoka kwa Mungu, wala si juhudi zetu. Hatuwezi kumlazimisha Mungu afanye chochote, kwa hivyo ni muhimu tuwe wenye subira na tuzidi kuweka tumaini na imani yetu katika Bwana na wakati wake.

Kuhusu Mpango huu

The Parables of Jesus

Mpango huu utakuwezesha kusoma mbazi za Yesu na kuchunguza maana ya mafunzo yake kwako! Unaweza kuendelea na mpango wako ulipoachia kwani imerahisishwa kufika ulipokuwa. Hii itakupa wakati kutafakari na kuhamasishwa na upendo na nguvu wa Yesu!

More

We would like to thank Trinity New Life Church for this plan. For more information, please visit: http://www.trinitynewlife.com/