Mtazamo Wa Kibiblia Kuhusu Mabadiliko Katika JamiiMfano

Wezeshwa
Tunafaa kumpenda Mungu vipi? Ni nini maana ya kupenda majirani zetu kama tunavyojipenda? Tunajali maslahi yao yote mawili, ya kimwili na kiroho kwa kweli?
Yesu alijali watu kwa ukamilifu. Aliponya wagonjwa alipohubiri na kufunza. Tukimfuata, sharti nasi pia tujali naye.
Yesu alipotuma wafuasi wake kumi na wawili kuwahudumia wengine, aliwaamuru waponye wagonjwa na kuzingatia mahitaji ya kimwili ya wengine walipohubiri kuhusu habari njema ya Yesu Kristo.
Tafakari:
Yesu ametuwezesha kukimu mahitaji ya wengine. Tutawatendea vipi walio na mahitaji katika jamii zetu ili kuwawezesha kukimu mahitaji yao wenyewe?
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Vikundi vingi vya Kikristo vinajishughulisha kukimu mahitaji ya kiroho ama ya kimwili. Tunafaa kuyapa yapi kipaumbele kama Wakristo? Tunaweza kujifunza nini kutokana na Biblia kuhusu mada huu?
More
Mipangilio yanayo husiana

Bila Utulivu

Waliochaguliwa: Jikumbushe Kuhusu Injili Kila Siku

Tabia

Kwa pamoja: Kutafuta maisha pamoja

Kuutafuta Moyo wa Mungu kila Siku - Hekima

Mpango wa Mungu katika maisha yako

Muda wa kupumua

Nenda Tenda Sema Toa: Uhuru wa Kujisalimisha kwa Yesu

Soma Biblia Kila Siku 11/2025
