Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Mtazamo Wa Kibiblia Kuhusu Mabadiliko Katika JamiiMfano

A Biblical View On Social Change

SIKU 1 YA 5

Vipaumbele


Katika Injili ya Luka tunaona Yesu, kwa mara ya kwanza, akitujulisha sababu yake kuja. Iliandikwa pia katika Isaya 61:1-2, miaka na mikaka kabla ya kuzaliwa kwa Yesu. Ni sababu zipi ambazo Yesu anatoa za kuja kwake? Je, zinalingana na mahitaji ya kiroho zaidi, ama mahitaji ya kimwili - ama yote mawili?


Kwa kutafakari kuhusu ujumbe wa Yesu, tunaweza kuelewa njia ambazo Mungu anatualika tushirikiane na yeye ili kuleta suluhu kwa changamoto na mahitaji ya jamii zetu. Bila uingiliano wa Mungu, hatuwezi kukimu mahitaji haya—lakini bila ushirikiano wetu Mungu hatatenda.


Tafakari:


Nyakati nyingine tunahisi kwamba tu wanyonge, kwamba hatuna rasilimali za kukabiliana na shida zinazotukumba. Maandiko yanatuonyesha kwamba rasilimali tunazo hata ingawa ni chache; zatosha tukizisalimu kwa Mungu, aliye na uwezo wa kuongeza matokeo yako.


siku 2

Kuhusu Mpango huu

A Biblical View On Social Change

Vikundi vingi vya Kikristo vinajishughulisha kukimu mahitaji ya kiroho ama ya kimwili. Tunafaa kuyapa yapi kipaumbele kama Wakristo? Tunaweza kujifunza nini kutokana na Biblia kuhusu mada huu?

Tungependa kushukuru Tearfund kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea:http://www.tearfund.org/yv

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha