Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 5 YA 31

Mawazo na mazao ya mtu si ya Mungu. Mungu anatoa uzima udumuo hata baada ya kufa. Ulimwengu hauna tabia wala sifa ya Mungu. Ili kufanikiwa kuishi atakavyo Mungu ni lazima kupokea na kukaa chini ya msalaba wa Kristo. Msalaba wa Kristo ndiyo hekima na ujuzi wa Mungu. Ndiyo lugha ya Mungu ya kukutana na wewe na taifa lako. Unyenyekevu na tabia ya Mungu vinapatikana msalabani. Kumpokea Kristo si upumbavu, bali ni kupata hekima iliyo bora na inayofaa. Ndiko kuhusiana na Mungu.

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha