Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 9 YA 31

Kukataliwa kwa Neno la Kristo leo si jambo geni. Kristo alikataliwa na kudharauliwa tangu kuzaliwa mpaka alipokufa na kufufuka. Hata hivyo ndiye hekima ya Mungu aliyowatayarishia wote wampendao. Kumkubali Yesu Kristo hakutegemei hali ya nguvu au udhaifu uliopo sasa. Usifadhaishwe na wanaomkataa Kristo leo. Walikuwako na watakuwapo. Hatimaye yeye atabaki wa kuaminiwa. Hakuna awezaye kukuokoa zaidi ya Kristo tu. Huyu ndiye pekee akujuaye wewe.

Andiko

siku 8siku 10

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha