Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 29 YA 31

Neno la Mungu hutolewa katika mazingira na hali iliyopo. Paulo anawashauri Wakristo washughulike na hali hiyo. Wamtazame Kristo na kumtumikia kwa moyo na nia moja muda mfupi uliobaki mpaka wawepo kwake. Wakorintho walikabiliwa na mateso ya imani. Hapo ndoa ingeweza kuyazidisha. Ndoa haitatui matatizo yote ya maisha, k.mf. mateso, upweke, majaribu na kuridhika. Hali uliyo nayo sasa ikitumiwa atakavyo Kristo, ni chombo cha thamani cha kuwashuhudia wengine juu ya Kristo pale ulipo.

siku 28siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha