Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 28 YA 31

Ushuhuda wa Kikristo unaonekana popote bila kujali mambo kama taifa na kabila, hali ya kijamii na kikazi, na ndoa uliyomo. Katika agano jipya, jambo lenye maana ni kwamba Kristo alipotufia msalabani alitununua kuwa watu huru wa Bwana. Kwa hiyo tuwe watumwa wake wala si watumwa wa watu! Mkristo aendelee kufanya kazi yoyote ya halali. Ndiyo kazi yenye ushuhuda mwema juu ya Bwana wake. Ila akipewa fursa nzuri zaidi, aitumie kuishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na Mungu.

siku 27siku 29

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha