Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 26 YA 31

Ni vema kukaa bila kuoa au kuolewa kama tuna kipaji hiki. Vilevile ndoa ni baraka ya Mungu. Hali zote zina maandalio ya kuishi na Mungu milele, kama tukishika tu amri ya Mungu kwetu. Ndoa ni agano la kudumu kati ya mume na mke. Agano hili linamhusisha Mungu na wale wanaooana. Ndoa ya Kikristo haivunjwi na mamlaka ya kidunia. Wajibu wa Kikristo katika ndoa ni kumtegemea na kumwamini Kristo. Ndiye asili ya uhai wetu na chanzo cha ndoa idumuyo. 

siku 25siku 27

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha