Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Kama mtu akimpokea Kristo baada ya kuoa au kuolewa, lakini mwenzake hataki, mtu huyo afanyeje? Kwa Mkristo ndoa ni agano la kudumu. Hawezi kumpa talaka mwenzake. Achukue nafasi aliyopewa sasa ya kuwa mjumbe wa Injili kwa ndugu huyo ili yamkini amwone Kristo. Asiogope kwa watoto wao. Mungu atawapokea kama awapokeavyo watoto wa ndoa ya Kikristo. Ila kwa ajili ya amani, akubali mwenzake akimpa talaka. Maana katika hali hiyo ni vigumu kumvuta huyo mwenzi amwamini Kristo.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz
Mipangilio yanayo husiana

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021

Soma Biblia Kila Siku Februari 2021

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

Soma Biblia Kila Siku Juni 2021

Upendo Wa Bure

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

BibleProject | Safari ya Kujifunza Kutoka Luka Na Matendo
