SOMA BIBLIA KILA SIKU 01/20Mfano

Ni habari ya Mungu kuzuru Yerusalemu. Utukufu wake umeshauzukia, na wakazi waitwa wakamkaribishe. Hivyo mji utaangaza, maana Mungu ni nuru. Duniani kuna giza. Lakini Waisraeli wanapompokea Mungu wao, hata mataifa mengine wataiona nuru hiyo na kuijilia. Ujumbe wa Sikukuu ya Epifania ni kwamba Yesu Kristo, nuru ya ulimwengu, amekuja kwetu. Utukufu wake utatuzukia tukimgeukia na kumkaribisha maishani mwetu. Basi, tuangaze, ili wengine waijilie nuru yake yenye baraka.
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 01/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo, Kutoka, Zaburi na Isaya. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Anza mwaka wa 2020 kwa kujifunza Neno la Mungu kupitia mpango huu.
More
Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz
Mipangilio yanayo husiana

Soma Biblia Kila Siku Julai 2021

Upendo Wa Bure

Soma Biblia Kila Siku Februari 2021

Soma Biblia Kila Siku Mei 2021

Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

Soma Biblia Kila Siku 11/2020

BibleProject | Safari ya Kujifunza Kutoka Luka Na Matendo

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Machi 2021
