Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 31 YA 31

Msifuni Mungu(m.1). Zaburi ya mwisho inaonyesha kilele na jambo kuu la kitabu cha Zaburi chote. Msifuni kwa matendo yake makuu (m.2). Imetupasa kumsifu Mungu aliyeumba mbingu na dunia, anayetutunza na kutupenda, aliyefanya mambo mengi makuu kwa ajili yetu, na aliyetuokoa kwa Mpatanishi wetu. Watu wote na viumbe vingine vyote hushirikiana katika kumsifu BWANA MUNGU kwa ukuu wa nafsi yake na kwa matendo yake! Kwa kila njia iwezekanayo watu wote wa kila mahali wamsifu Mungu.

Andiko

siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wa...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha