Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 12Mfano

Soma Biblia Kila Siku 12

SIKU 27 YA 31

Zaburi hii inatukumbusha kuwa BWANA ndiye mwenye fadhili, kila mstari ukifafanua maana yake: Ndiye Mungu mwema na wa pekee aliye wa kweli. Ana hekima kamili, naye aliumba vitu vyote. Tena ni Mwokozi aliyewaokoa Waisraeli kutoka utumwa wa Misri na kuwaweka huru. Huyohuyo ndiye Mungu wetu pia. Kuokolewa kwetu kutoka utumwa wa dhambi na kuwekwa huru ni tendo lake kuu. Ni wajibu wetu kudumu katika kumshukuru kwa neema hii tusiyoistahili. Ndipo maisha yetu yatakuwa na amani na baraka za Mungu.

siku 26siku 28

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 12

Soma Biblia Kila Siku 12 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kitabu cha Mwanzo, Mathayo, 2 Wa...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha