Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: MosaicMfano

Cesar Chavez (Marekani, 1927-1993) ⏎ ⏎ Nionyeshe mateso ya walio duni; ⏎ Hivyo mimi kujua hatma ya watu wangu ⏎.Niwekeni huru niwaombee wengine; ⏎ Kwa sasa u hali katika maisha ya kila mtu ⏎.Nisaidie kuchukua jukumu kwa maisha yangu,. ⏎ Ili niweze kuwa huru hatimaye ⏎Nipe uaminifu na uvumilivu; ⏎ Ili niweze kufanya kazi na wafanyakazi wengine ⏎.Nipe uaminifu na uvumilivu; ⏎ Ili niweze kufanya kazi na wafanyakazi wengine ⏎.Ruhusu roho ishamiri na ikue; ⏎ Ili tuweze choka na mapambano ⏎.Tuwakumbuke wale waliokufa kwa uadilifu;. ⏎ Maana wametupa maisha ⏎Tusaidie kuwapenda hata wale wanaotuchukia. ⏎ Ili tuweze kuibadilisha dunia ⏎amen
Andiko
Kuhusu Mpango huu

Ibada Hii ya kila siku kwa siku 46 kabla ya Pasaka iliyochukuliwa kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic, inaleta pamoja dondoo, masomo na maandiko kukusaidia kulenga akili yako kwa Kristo. Ikiwa huna uhakika msimu wa kabla ya Pasaka unahusu nini au umekuwa ukijihusisha na msimu huu maisha yako yote, utafurahia masomo ya maandiko na ibada za busara kutoka kwa Wakristo kote ulimwenguni na katika historia. Jiunge nasi na kanisa kote duniani kulenga akili zetu kwake Yesu katika wiki zote za kabla ya Pasaka.
More
Tungependa kushukuru Wachapishaji wa Tyndale House kwa ukarimu wao wa kutoa Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic Kujifundisha mengi kuhusu Biblia Takatifu: Mosaic tafadhali tembelea: www.tyndale.com/p/holy-bible-mosaic-nlt/9781414322056