Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: MosaicMfano

Devotions for Lent from Holy Bible: Mosaic

SIKU 13 YA 46

Utegemezi ⏎ ⏎ Siyo siri kwamba utamaduni wetu unathamini uhuru. Mwanamgambo ni shujaa wakimerikani Lakini haichukui mda mrefu kabla ya Mwanamgambo anaishi katika shimo la taabu. Hata utamaduni uliokidhiri katika mtazamo wa naweza-fanya-peke-yangu kwa haraka ulidhani kwamba kutengwa kwa Seung-Hui Cho (mhusika mkuu wa mauaji ya alaiki katika chuo cha technologia cha Viginia - 2007) ilikua sababu kuu huzuni kuu maishani mwake haikutambulika mapema na hatimaye kusababisha maafa. ⏎ ⏎Tangu mwanzo wa hadithi yetu ya imani, upweke wa Adamu ni huzuni ambayo ubinadamu wote unaweza linganisha Mungu kumuumba Hawa kwa urafiki na kuingilia kati kwake katika historia ya binadamu kwa njia ya uhusiano unaonyesha kwamba tuliumbwa kuwa na uhusiano na wengine. ⏎ ⏎Wakati uhusiano haudai sadaka ya uhuru, hutoa zawadi ya kukutana na upungufu wetu. Katika wakati kama huu wa udhaifu, tunatambua nguvu ya utegemezi.

Kuhusu Mpango huu

Devotions for Lent from Holy Bible: Mosaic

Ibada Hii ya kila siku kwa siku 46 kabla ya Pasaka iliyochukuliwa kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic, inaleta pamoja dondoo, masomo na maandiko kukusaidia kulenga akili yako kwa Kristo. Ikiwa huna uhakika msimu wa kabla ya Pasaka unahusu nini au umekuwa ukijihusisha na msimu huu maisha yako yote, utafurahia masomo ya maandiko na ibada za busara kutoka kwa Wakristo kote ulimwenguni na katika historia. Jiunge nasi na kanisa kote duniani kulenga akili zetu kwake Yesu katika wiki zote za kabla ya Pasaka.

More

Tungependa kushukuru Wachapishaji wa Tyndale House kwa ukarimu wao wa kutoa Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic Kujifundisha mengi kuhusu Biblia Takatifu: Mosaic tafadhali tembelea: www.tyndale.com/p/holy-bible-mosaic-nlt/9781414322056