Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye Roho

Siku 30

Amani: Maisha ya Roho ni msukumo wa hazina ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, Muandishi mpendwa ulimwenguni wa ibaada na muandishi wa Uwezo Wangu wote kwa Alie Juu. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi wa umuhimu wa amani ya Mungu kwenye maisha yako.

Mchapishaji

Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 100000 wamemaliza