Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: MosaicMfano

Maombi kutoka Dietrich Bonhoeffer (Ujerumani, 1906-1945) ⏎ ⏎ Eeh Mungu, mapema asubuhi nakulilia wewe. Nisaidie kuomba; na mawazo yangu kumakinika kwako; Siwezi kufanya hivyo peke yangu.
Ndani yangu ni kiza, lakini kwako kuna nuru; Mimi ni mpweke, lakini huniachi ; Mimi ni mdhaifu moyoni, lakini kwako kuna msaada; Nahangaika, lakini kwako kuna amani. Nina uchungu, lakini kwako kuna uvumilivu; Sielewi njia zako, lakini unaijua njia kwa niaba yangu. . . . ⏎ ⏎Nirejeshe katika uhuru, na uniwezeshe kuishi sasa ili nipate kujibu mbele zako na mbele za watu. Bwana, chochote siku hii italeta, jina lako lisifiwe. ⏎ ⏎amen

Andiko
Kuhusu Mpango huu

Ibada Hii ya kila siku kwa siku 46 kabla ya Pasaka iliyochukuliwa kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic, inaleta pamoja dondoo, masomo na maandiko kukusaidia kulenga akili yako kwa Kristo. Ikiwa huna uhakika msimu wa kabla ya Pasaka unahusu nini au umekuwa ukijihusisha na msimu huu maisha yako yote, utafurahia masomo ya maandiko na ibada za busara kutoka kwa Wakristo kote ulimwenguni na katika historia. Jiunge nasi na kanisa kote duniani kulenga akili zetu kwake Yesu katika wiki zote za kabla ya Pasaka.
More
Tungependa kushukuru Wachapishaji wa Tyndale House kwa ukarimu wao wa kutoa Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic Kujifundisha mengi kuhusu Biblia Takatifu: Mosaic tafadhali tembelea: www.tyndale.com/p/holy-bible-mosaic-nlt/9781414322056