Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: MosaicMfano

Devotions for Lent from Holy Bible: Mosaic

SIKU 15 YA 46

Yohana Cassiani (Misri, 365-435) ⏎ ⏎ Hili ni jambo tumepewa kutoka wakuu wa kale na ni kitu ambacho sisi tunawapa idadi ndogo sana ya wenye hamu ya kujua: ⏎ ⏎ kuweka mawazo ya Mungu kila mara katika akili yako ni lazima kushikamana kabisa kwa uchaji: "Upende kunioka ee Mungu, Ee Mwenyezi Mungu, uje haraka kunisaidia " [Zaburi 70:1] ⏎ ⏎.Si bila sababu nzuri kwamba mstari huu umechaguliwa kutoka maandiko kama kifaa. Inabeba hisia zote za uwezo wa binadamu. Inaweza tumika kwa kila hali na dhidi ya kila jaribu. Inabeba kilio cha msaada kwa Mungu hatarini. Inaonyesha unyenyekevu wa kukiri wema. Inaonyesha kukesha kutokana na wasiwasi na hofu. Inaonyesha udhaifu wetu, uhakikasho wa kusikilizwa, imani katika msaada ulipo daima na kila mahali. Mtu milele kumwita mlinzi wake kwa kweli ana uhakika yapo karibu naye. Hii ni sauti imejazwa mwako wa upendo na sadaka. Hiki ni kilio cha hofu kwa mtu anayeona mitego ya adui, kilio cha mtu unayekabiliwa mchana na usiku na anakiri kwamba hawezi kutoroka isipokuwa mlinzi wake kumwokoa. ⏎ ⏎Aya hii fupi ni ngome kwa wale wanaopigana dhidi ya mapepo. Ni ngao kamilifu isiyoweza pasuka Kisicho furahisha, majuto, au mawazo makuu, mstari huu unatuepusha kukata tamaa katika wokovu wetu kwa kutufunulia Yule tunayemwita, Yule aonaye mapambano yetu na aliye karibu tunapo mwomba. Kama mambo yakituendea vyema katika roho, kama kuna furaha katika mioyo yetu, mstari huu unatuonya tusiwe na kiburi, si kwa kujivunia kuwa katika hali nzuri ambayo, kama inavyoonyesha, haiwezi bakia bila ulinzi wa Mungu. (last part not clear - for whose continuous and speedy help it prays.) Aya hii ndogo, nasema, inathibitisha kuwa muhimu kwa kila mmoja wetu na katika hali zote. Kwa mtu ambaye anahitaji msaada katika mambo yote ni kufanya wazi kwamba anahitaji msaada wa Mungu si tu katika hali ngumu na huzuni lakini kwa usawa na kukiwa na hali ya bahati na furaha. Anajua kwamba Mungu anatuokoa mashakani na kuifanya furaha yetu kuimarika na katika hali tofauti tofauti uhafifu wa binadamu hauwezi kuishi bila msaada wake.

Kuhusu Mpango huu

Devotions for Lent from Holy Bible: Mosaic

Ibada Hii ya kila siku kwa siku 46 kabla ya Pasaka iliyochukuliwa kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic, inaleta pamoja dondoo, masomo na maandiko kukusaidia kulenga akili yako kwa Kristo. Ikiwa huna uhakika msimu wa kabla ya Pasaka unahusu nini au umekuwa ukijihusisha na msimu huu maisha yako yote, utafurahia masomo ya maandiko na ibada za busara kutoka kwa Wakristo kote ulimwenguni na katika historia. Jiunge nasi na kanisa kote duniani kulenga akili zetu kwake Yesu katika wiki zote za kabla ya Pasaka.

More

Tungependa kushukuru Wachapishaji wa Tyndale House kwa ukarimu wao wa kutoa Ibada za kabla ya Pasaka kutoka kwa Biblia Takatifu: Mosaic Kujifundisha mengi kuhusu Biblia Takatifu: Mosaic tafadhali tembelea: www.tyndale.com/p/holy-bible-mosaic-nlt/9781414322056