Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

SIKU 30 YA 30

Yesu ndiye "Mfalme wa Amani" kwa sababu ni ndani yake pekee ndipo mwanadamu anapopata nia na amani ya kiungu duniani. Mshukuruni Mungu, kwa kuwa kupitia Mwana wake mpendwa upendo mkuu wa Mungu uko juu ya mioyo yetu na kila nchi chini ya mbingu, nayo haiji kwa njia nyingine yoyote. Hakuna kati yetu anayeweza kumnuia Mungu bila ya kumsikiliza Yesu Mwana Wake. Njia ya pekee inayoelekeza katika amani na wokovu na uwezo, na katika yote ambayo Mungu ameyawezesha kwa njia ya fadhii na baraka kwetu sisi binafsi, na kwa ulimwengu mzima, kupitia Mwana wa Mtu.

Wakati maneno 'Kuteswa kwa Bwana Wetu" yanapotumika yanamaanisha kubadilishwa katika amani, nguvu na subira.



Swali la kutafakari: Je, ni njia gani inatuwezesha kuwa katika amani na Mungu isipokuwa kupitia Mwanawe? Je, amani yangu inanitia shauku ama imezembea?



Nukuu zimechukuliwa kutoka 'Atakaye nitukuza', © Discovery House Publishers

Andiko

siku 29

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi ...

More

Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha