Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

SIKU 24 YA 30

Lazima tuwe kama pigo la mbu kwa mwenye nguvu na wasiwasi zetu, na ugumu tunao ufikiria, yote kwasababu hatuingii kwenye maisha ya msingi na Mungu ambayo Yesu amekuja kutupa sisi. "Upendo wake kwa kipindi cha nyuma" inatuwezesha kupumzika kijasiri kwake. Kuna usalama kutoka jana, usalama kesho na usalama leo. Ni ufahamu uliompa Bwana amani tulivu aliyonayo.



Jamii ni juhudi za wanadamu kujenga jiji la Mungu; Binadamu ana ujasiri kwamba kama Mungu akimpa mda wa kutosha hatajenga tu jiji takatifu, bali jamii takatifu na kuleta amani duniani na Mungu anamruhusu na kumpa fursa ya kujaribu, mpaka atakaporidhika kwamba njia ya Mungu ndio njia pekee.



Maswali ya Tafakari: Ni wasiwasi gani ambayo inaonesha sina amani? Ni jamii na mfumo gani tunajenga inayo punguza uhitaji wa amani yetu kwa Mungu?



Nukuu kutoka Biblical Ethics and The Highest Good, © Discovery House Publishers
siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi ...

More

Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha