Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

SIKU 29 YA 30

Mungu anapo anzisha kazi yake ndani yetu haweki utofauti kwenye maisha yetu, lakini anahamisha kiini cha ujasiri wetu. Badala ya kutegemea nguvu zetu au za wengine, tunategemea nguvu zake. Wote tunajua utofauti unaoletwa tukiwa na mtu anaetuaminia na ambae tunamuamini. Hakuna uwezekano wa kuangamizwa. Maisha makubwa si kwamba tuna amini kitu, lakini tupo kupingana na vitu kwenye matukio au kwenye tabia zetu, tunaweka yote kwa heshima ya Yesu Kristo.



Amani ya Mungu itutakase ili tusiwe na nafsi mbovu kudumaza kusudi lake, bali kukamilishwa kupitia mateso.



Maswali ya Tafakari: Nafasi yangu katka Kristo inazuiaje kuwa na migogoro ya kuniangamiza? Amani ya Mungu inani ruhusu vipi kukamilika katika mateso?



Nukuu kutokaApproved Unto God and God’s Workmanship, © Discovery House Publishers
siku 28siku 30

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi ...

More

Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha