Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Oswald Chambers: Amani - Maisha kwenye RohoMfano

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

SIKU 28 YA 30

Amani ya Kristo inaendana na asili yake, na kazi ya amani hiyo ilionyeshwa katika maisha ya Bwana hapa duniani. Ni Mungu wa amani anae takasa kabisa. Zawadi ya ndani ya amani ya Kristo; gereza la Mungu kwa nje, basi inanibidi nihakikishe kwamba naruhusu amani ya Mungu kurekebisha yote ninayoyafanya, hapo ndipo wajibu wangu unapo kuja - "Achia amani ya Kristo itawale mioyo yenu."



Moja ya vitu ambayo tunahitaji kuponywa na amani ya Mungu ni mapambano ya kufanya vitu peke yetu. Je Mungu wa amani kakuleta sehemu tulivu au bado kuna mapambano na kelele? Bado unajihukumu? - bado unapambana na vitu unavyo vitaka?



Maswali ya Tafakari: Ina maanisha nini kuruhusu amani itawale moyo wangu? Kuna utofauti gani kati ya kuwa na utulivu na kuishi na amani? Kuna tofauti gani kati ya utulivu na amani?



Nukuu kutoka The Highest Good and If You Will Ask, © Discovery House Publishers
siku 27siku 29

Kuhusu Mpango huu

Oswald Chambers: Peace - Life in the Spirit

Amani: Maisha ya Roho ni hazina ya msukumo ya nukuu kutoka kwenye kazi za Oswald Chambers, mwandishi mpendwa ulimwenguni wa ibada na mwandishi wa My Utmost for His Highest. Pata mapumziko kwa Mungu na pata uelewa zaidi ...

More

Tungependa kushukuru Huduma ya Discovery House Publishers kwa kutoa mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: www.utmost.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha