1
Mateo 19:26
Swahili Roehl Bible 1937
SRB37
Yesu akawachungua, akawaambia: Kwa watu neno hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana.
Linganisha
Chunguza Mateo 19:26
2
Mateo 19:6
Kwa hiyo sio wawili tena, ila wamekuwa mwili mmoja tu. Basi, Mungu alichokiunga, mtu asikiungue!
Chunguza Mateo 19:6
3
Mateo 19:4-5
Naye akajibu akisema: Hamkusoma, ya kuwa Muumbaji hapo mwanzo aliwaumba mume na mke, akasema: Kwa sababu hii mtu atamwacha baba yake na mama yake, agandamiane na mkewe, nao hao wawili watakuwa mwili mmoja?
Chunguza Mateo 19:4-5
4
Mateo 19:14
Ndipo, Yesu aliposema: Waacheni vitoto, msiwazuie kuja kwangu! Kwani walio hivyo ufalme wa mbingu ni wao
Chunguza Mateo 19:14
5
Mateo 19:30
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, nao walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Chunguza Mateo 19:30
6
Mateo 19:29
Ndipo, kila mtu aliyeacha nyumba au kaka au dada au baba au mama au wana au mashamba kwa ajili ya Jina langu atakapoyapata tena na kuongezwa mara nyingi, kisha ataurithi nao uzima wa kale na kale.
Chunguza Mateo 19:29
7
Mateo 19:21
Yesu akamwambia: Ukitaka kuyatimiza yote nenda, uviuze, ulivyo navyo, uvigawie maskini! Hivyo utakuwa na kilimbiko mbinguni. Kisha uje, unifuate!
Chunguza Mateo 19:21
8
Mateo 19:17
Naye akamwambia: Unaniulizaje jambo lililo jema? Aliye mwema ni mmoja. Lakini ukitaka kuingia uzimani yashike maagizo!
Chunguza Mateo 19:17
9
Mateo 19:24
Tena nawaambiani: Masumbuko ya ngamia ya kupenya tunduni mwa sindano ni madogo kuliko yake mwenye mali ya kuingia ufalme wa Mungu.
Chunguza Mateo 19:24
10
Mateo 19:9
Nami nawaambiani: Mtu akimwacha mkewe, isipokuwa kwa ajili ya ugoni, akaoa mwingine, anazini; naye anayeoa mke aliyeachwa anazini.
Chunguza Mateo 19:9
11
Mateo 19:23
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake: Kweli nawaambiani: Ni vigumu, mwenye mali aingie katika ufalme wa mbingu.
Chunguza Mateo 19:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video