Mathayo 19:21
Mathayo 19:21 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Isa akamwambia, “Ukitaka kuwa mkamilifu, nenda, ukauze vitu vyote ulivyo navyo, na hizo fedha uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo, unifuate.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yesu akamwambia, Ukitaka kuwa mkamilifu, enenda ukauze ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamwambia, “Kama unapenda kuwa mkamilifu, nenda ukauze mali yako, uwape maskini fedha hiyo, nawe utakuwa na hazina mbinguni, kisha njoo unifuate.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akamwambia, Ukitaka kuwa mkamilifu, nenda ukauze ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.
Shirikisha
Soma Mathayo 19