Mathayo 19:6
Mathayo 19:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe.
Shirikisha
Soma Mathayo 19