Mathayo 19:29
Mathayo 19:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Na kila aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili yangu, atapokea mara mia zaidi, na kupata uhai wa milele.
Shirikisha
Soma Mathayo 19Mathayo 19:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu wa kiume au wa kike, au baba, au mama, au watoto, au mashamba, kwa ajili ya jina langu, atapokea mara mia, na kuurithi uzima wa milele.
Shirikisha
Soma Mathayo 19